Warn Your Kids

Wakikosa kufanya bidii kwa life watakuwa wazee bitter kama Collins Wanderi mwenye aliserve kwa jeshi miaka kidogo kama specialist officer but yeye lazima ajitambulishe kama retired captn, after kunyImwa kazi na Amednasir Abdulahi. Yeye ako allover kwa social media akicomment kwa kila kitu as if hana maisha.

But huyo jamaa si maskini

Kwani post ya you gins wenye wanaitwa interview na kukataa kuenda imekusinya aje

let the dude be ,he is also an advocate living his life as he deems fit. concentrate on your self

mtu akishindwa kujenga jina kwa ground huenda kupiga kambi social media kujenga jina huko. Sitamani io maisha nikizeeka. Haina heshima kushinda kila siku anacomment kuhusu vijana na yeye ni mzee.

kwani he is against hustler?