@Some Say leo umetuangusha. This is the last Sunday of the year na leo ndio unaweza land sweeps za kufunga mwaka.
@introvert pia wewe leta sweeps za gunia mwaka huu.
Kama si hivyo wafungiliwe mahali walishwe mashakura watu walibakisha 26th
na si tafadhali
hiyo ni extreme
:D:D:D
Kama ni zile water melon 40 ulipika sitaki.
huna option as per her recommendation…
Natafuta sharpener nichore wazito wa 2017.
nisikose apo
Niaje Engineer ArchiBALD Ochieng.
na calendar ya tommy lee
From 2018 I am to be referred to as Doctor.
I have been doing an PhD.
Next year niko school of Theology.
Anyone who addresses me by any other title shall know where @Ruffneck went to.
Sawa Dr. Eng. ArchiBALD Ochieng, MSc, PHD
The honorary Dr. Kipara
Hiyo si kipara, ni landing pad ya nzi ya osungu.dll
:D:D
Umeshau Reverend…
Nakuona hapo tu.
:D:D:D:DHakuna mtu huchagua punishment.
Kuna stew ya minji na waru Hapa kwa fridge hii plus melon itatosa wewe
Wewe najua unaweza taka kuniua na hot beetroot juice and tangawizi with pumpkin wedges. Wacha nichore.
Not yet, just make sure you don’t draw me and you will be safe
nimeland wadau
Watu wamekua wa boring sana hakuna material ya ku report