Jamani wapenzi wa isidingo tuliohamia huku tusisahauliane updates kama ilivyokuwa home jf
Aiseee
Series huwa zinanikera muda zinazochukua na ubadilikaji wa waigizaji. “Isidingo The Need” na “Days of our lives” ni kiboko kwa muda waliotumia kuigiza!
Haiboi hata ukitaka uanze kuangalia leo utaielewa tu, matukio sio kwamba ndo yale yale series ilipoanzia
Tunatofautiana. Tamthilia tangu mtu hajazaliwa mpaka leo hii kamaliza chuo kikuu yenyewe inaendelea tu!!
Tangu nipo shule ya msingi mpaka nmemaliza chuo na sasa naelekea uzee hii tamthilia bado tu. Mamlaka husika iingilie kati
Numbisa aje pande hii tafadhali…so far Barker ameuwawa ila muuaji hajajulikana ila nahisi atakua Oftense maana alipotea ghafla na alivorudi haeleweki eleweki
Daah Barker jamani
Ile maiti sio ya Barker Haines tusubiri j3 tujuwe ya nani,ikumbukwe alivaa bullet proof vest mapema