Ndovu
July 23, 2024, 6:24pm
1
Inaonekana Marcus ameshindwa kununua nappies za mtoto.
Media personalities are the brokes mfs out there. Kazi ni kuchukua loan kununua KDQ mark x. Iphone lipa mdogo mdogo. Nguo mpya za Eastleigh.
Na kulipa rent nyumba expensive kama 25k - eventually they rellocate to some 40by80 gabage in the middle of nowhere like Mihango/Ruiru/Joska.
Bro hiyo pesa hufai kuinvest. Unafaa kukula nyama, umymunye fombe na lanye. Na kutravel. Unawezaje kaa chini na 1/2millions ufikirie kuinvest surely
Namecheki tagged… (ama ni lookalike)?
…
1 Like
Ndovu
July 23, 2024, 6:30pm
3
Dudu1:
…Who’se she?
Manzi fulani ya toktik sijui tiktak
Anakaa kukuwa na mdudu mbaya
Ni look alike Marcus ameweka password noma sana Kwa huyu Dem. Top brass wamejaribu lakini wapi.
lazima catfish… chunga usipoteze float yako ya mwezi to some nigerian…
Leonn
July 24, 2024, 2:12am
18
kwani nyi bonobos hamnanga insta
1 Like
respec elders buannaa!.. you can’t expect fossils to keep up with every latest social media fad apps… hehehe tulianza hii vitu ikiwa yahoogroups na myspace… ikaja forums, we drew the line with mukuru and twirra… braincells zilichoka kushinda kupiga hizo summersaults…