Wanawake watatumalisa

Wahooo!! Mrs Shosho habari ni nzuri tu best. Nimefurahi kukuona tena hapa its been a long time since we lost touch. Mzima wewe lakini?

Suala la meal nilikuwa natania tu… Usijali!

Niko poa kabisa. Umefanya vizuri sana kuja kututembelea. Sasa ujue Shosh hajui kutania ni nini.:smiley:

Nimefurahi kusikia huko poa. Naendelea kuenjoy Kenya Niko hapa kilifi kwa sasa. Then Nina plan ya kufika Nairobi kabisa. Nilipofila Kenya nikafufua na hii ID yangu. I truly miss this forum.

Kutania ni sawa na neno maskhara it simply means I was joking.

Unaishi mji gani kwa hapa Kenya Mrs Shosho?

Naona itabidi nitafute ile kamusi nilinunua when Jamii folk joined KTalk ndiyo tuelewane. Mimi ni mzaliwa wa Kiambu County lakini naishi in the United Kingdom.
Are you on vacation ama ni kazi?

In swahili we call it tanakali za semi. Iko sawa ‘kusikia’

‘Ulipofila’?