Habari wakuu,
Wanawake wamekuwa watafutaji wazuri wa pesa sana siku hizi…
Hata walioajiriwa wengi wanalipwa mishahara minono sana.
Ila hawa wanawake wanapoolewa baadhi yao wamekuwa wabahili sana katika kusaidiana.
Kila majukumu ya familia yamekuwa yakifanywa na wanaume.
Hivi nyinyi wanawake hela zenu mnapeleka wapi?
Wanasema wanajipanga siku mkiachana yy aendelee na maisha yake na pesa zake.
Mkiwa wote kwenye ndoa/mahusiano wanasema zitumike zako tu ww c kichwa wao mkia. Maninaaa
Sakayo
June 22, 2018, 6:01am
4
Suala LA kusaidiana majukumu ni mipango kati ya mume na mke. Kuna familia ambazo hazina mipango kabisaaa! Hapo ndo mmoja huonekana bahili lakini sio. Utaratibu uwepo pamoja na uwazi
na upande wa pili wa shiling wanataka 50/50!
Shunie
June 22, 2018, 8:29am
7
Uzuri wa ngoma uingie ucheze utaona kila aina za rangi
Demiss
June 22, 2018, 8:30am
8
hahahahah kiukweli sjawahi muhonga hela mwanaume nimezoea kupewa tu kila kitu eeeh lord have mercy niache ubahili huu jamani
Doncute:
Habari wakuu,
Wanawake wamekuwa watafutaji wazuri wa pesa sana siku hizi…
Hata walioajiriwa wengi wanalipwa mishahara minono sana.
Ila hawa wanawake wanapoolewa baadhi yao wamekuwa wabahili sana katika kusaidiana.
Kila majukumu ya familia yamekuwa yakifanywa na wanaume.
Hivi nyinyi wanawake hela zenu mnapeleka wapi?
Mke wangu mimi ni tafauti sana namshukuru sana Mungu kwa ajili yake
Cowman
June 22, 2018, 6:03pm
15
Nimekopwa laki moja na mpenz wangu hataki kurudisha nasaidieni jins kudai mpnz wk
Mpenzi hakopeshwi hela…msamehe tu pole…
Cowman
June 22, 2018, 6:08pm
17
Mimi si Taasisi nawezaje kusamehe mkopo
Ha ha haaa…atakulipa K ila siyo hela
Ni kwa sababu mwanamke ameumbwa kupokea na mwanaume kutoa ndiyo maana…
Cc: @Mahondaw