Wanaume wote hufanya hivi;,or is it just me?

BEFORE.

[ATTACH=full]4980[/ATTACH]

AFTER.

[ATTACH=full]4981[/ATTACH]

Nani mwingine anapenda kutafuna mifupa ya kuku?
I have a friend of mine from Zimbabwe siku moja alienda KFC ashamaliza kuku poa alafu akaanza round 2. ya kutafuna mifupa.Mzungu moja akamkodolea the whole time he is munching on the bones,sucking on the marrow bit a bone at a time alafu baadaye akamkaribia akamuuliza “what do the dogs eat in your country?”
The Zims guy casually looked at the Jungu guy akamwambia “They eat Chickens!”

5 Likes

Mimi hadi za samaki siachi

1 Like

No it is just you who does that. That is why unazidi kunona ‘kinono’

hahaha

Senior driver usituaibishe mayuu

1 Like

:D:D That before and after!

:D:D

I hope you do take a walk/hit the gym once in a while…

1 Like

FINS NA MKIA YA SAMAKI DEEP FRIED NI TAMU SANA,

@Ka-Buda KWANZA KICHWA YA KUKU NI NYAMA YOTE HAINA MFUPA MIMI HUKULA KILA KITU MPAKA UBONGO

2 Likes

Kwanza ya shingo na mgongo ya kienyeji?

2 Likes

kuku haina ubongo

:smiley: :smiley: :smiley: :D:D:D

I have a very physically demanding job so while i am not skinny, i am fit. …just big boned and my height allows me to carry my 110 Kgs un-noticeably.Dont let my name decieve you,i am a BIG boy…

Kwanza mwisho wa mfupa kwa tu joints huwa na cartilage crunchy hapo ndio utamu huanzia

2 Likes

Wewe sasa you are speaking my language. Hiyo ya shingo kwanza unakula the nyama part vizuri,unaiweka pending mpaka sahani ikuwe safi alafu sasa unairudia Part.2 pole pole until you grind it to oblivion.Haki hizi kuku za siku hizi the bone is the only sweet part,nyama ni kama sponge.

3 Likes

boscow feeds on ugali and maziwa on a lucky atachemshiwa hooves

1 Like

Hio lazima ni kuku broiler.

mmmh . . say tht again , n hw tall r you

Enyewe i have to stop this.Its the effects of bachelor life after years of “kupikiwa”…i need to get a grip before i become the Michellin Man.

mimi huwa nadisintegrate shingo kabisa

4 Likes