Rarely hear some of these gems in clubs nowdays. @kush yule mnono na kina @Yuletapeli Mnatambua?
Tulikuwa tunadunga Njuta za sharpshooters, sahunya ama za Hanson na toja ya colombo tunaenda kuchapa reggae. Na ile belt ya texan cowboys iko na buckle kubwa ya kutingizia kiuno
Hehe, hizo mahanson, sahunya, pipe na shati za beach na pipe hazikunipta pia. Nilikuwa hadi na kangol nilikuwa naipiga pasi inakaa fiti. Wewe ulikuwa Kwa Ile jeshi haikuwa inakosa kufika nyanza…:D:D juu ya hio maneno tafuta missile seven ya dj last born. Ikutudishe back in 2002/2003.
Very few elder can relate. Mtingiza ulikuwa unatoka sides gani? Naona wewe ni mtu wa Mathare north ama huruma ama githurai ama dando…:D:D
Hehehe hako ka ngepa ka Kangol nilidunga pia. Niligrow hizo base za Njish. Used to walk to Kayole back then ku ride zile bike ulikuwa unalipa ndio uendeshe maraundi. Ukiwa na doh enought kulikuwa na nduthi pia unalipa ndio uendeshe
Kwa wale wanatambua Huruma, kuna base ilikuwa inaitwa Kibichoi karibu na flato … hio ilikuwa yadi yangu back in the days. Nadunga jinaka yangu pipe na sahunya. Napitia kwa Njathi nachapa toivo kiasi alaf mbachu yangu half kg destination Brilliant passie …
Naona wewe ni former mtaa mate. Kwa hivyo uliwai kulwa viboko pale kwa @ChifuMbitika ukienda kula dhamba?
Them days kuvuka ile ng’ambo kuenda kuwatch ball Stima na Barclays. Raundi za Survey.
Wewe ni jirani. Ku watch game za utali FC, alafu pale area four kulikuwa na mti ya dhamba…sides za area four. Survey tulikuwa tunaenda ball hapo bene…st Benedict. Nilikuwa nakuja na team inajiita Flavio,baadaye nlikuwa nakuja na young minds. Team yangu ya kwanza ilikuwa inaitwa gospel rangers raundi zilikuwa wazimu. Sijui ka uliwahi swim sides za kita ( river gitadhuro) na pia karura forest…
Huruma kulikuwa na jeshi inajiita jah post, nlitulia kiasi nkajiondoa juu walikuwa bad company
Mujamaa naona tuko almost same age set. Kama unakumbuka enzi ya mboyz alikuwa anaitwa Mango apo huruma na jeshi yake … base yao ilikuwa apo drago. Redeemed kwa bishop Gitonga ndo nlikuwa napata spiritual nourishment before kurudi kuchafua ma time zake.
Hehe nostalgia feeling @Yuletapeli i grew up in baba dogo. We shifted to kasabuni then kariadudu. We must have met tukicheza ball huko bene ama grao ya mysa pale babaa nyuma ya sacred heart Catholic church…pokea big tune
Church ilikuwa bene nilikuwa mkatoliki. Umenikumbusha venye nilikuwa mzururaji…kiguu na njia. Nowadays huwa napita juja road naambia mtu hizi ndio ma area nili growia wananisho na wa vako
Most people think anyone who was brought up hizo ma sides ni jangili.
Hadi wa Leo lazima tu nitafika mysa. Huwa nafika zoezi na team ya wazee along kangundo road. CEO wa kpl Oguda huwa striker wetu…:D. Utanipata na old Boyz wa Mathare youth na Mathare united. Bado hukagusa. Mimi ni star Bado :D:D