Wanajeshi wa kenya

Kwani how much is an ordinary jeshi paid.I see most of them in danguros kama VIP and Sabina pale town wakiomba omba pombe na kuscare watu na picha wakiwa training na missions. Actually, most lanyes i noticed hawapendi stori zao

8 Likes

Mbona hizo umbwaaaa haziwezi kuwa huko barrack afco na pombe ni cheap. Hizo ghasia hazina akili.

11 Likes

but hakuna wanawake, wanajeshi wanapenda ngono sana

7 Likes

Barracks hakuna lanye or mbongi, colleagues huwa hawaleti shangwe plus barracks huwezi jienjoy ukisalute colonels na magenerali washienzi

22 Likes

I think that’s how they are conditioned remember hao ni state assets. Wanatumiwa ipasavyo.

9 Likes

Jeshi akikutisha mwambie uko na contact za military police

7 Likes

Ingekuwa bidenstan hao jeshi wangelipiwa pombe na lanye na raia bila kuuliza.

6 Likes

Huko barrack kuna pombe lakini hakuna madem

2 Likes

Lakini wanaweza nunua wakanywe huko nje na vidosho vyao.

1 Like

Shida ya jeshi it attracts all kinds of people including people from the most remote places in the country. A regular guy from the bundus is brought to kahawa, Langata or even thika barracks and he looses his mind. Many of them don’t even finish five years before they’re dismissed due to bad behaviour. But be kind. Hii kazi sio ya kila mtu. You will see just how much evil humanity has become. Many men in uniform are low key disturbed after what they’ve seen especially those who have gone to theatre.

18 Likes

they receive financial education. plus most of them hukuwa na bibi. madem wengi wakiskia mtu ako jeshi wanafuata mbio waolewe. so they don’t have money as thet start off life with a family with their first salary.

juu ya kuoa mapema hawananga game so wao hukula malaya as a consolation. plus they reason it’s cheaper to fuck whores than date young girls

11 Likes

an ordinary jeshi salary yake ni how much after tax

3 Likes

Fucckers are treated collectively as pieces of shiet.
That’s the best profession to take a sumbua child to. Uko ananyoroshwa anakuwa straight.

6 Likes

Seems like you retards mlikuliwa madem zenyu na makuruti after passout. Mko na chumvi mob aise

7 Likes

Jeshi na polisi ni maffi. But anyway they do a noble job of providing security internally and externally

8 Likes

Service man atakula ata as low as 60,000ksh cadet ndyo itafika ata 100,000ksh.

6 Likes

AFCO hakuna Lanyes

5 Likes

Karangi alicheza kama yeye akaharibu AFCO. Previously AFCO used to buy directly from manufacturers but he brought his company akakuwa middleman kununua from factories then supplying to AFCO. Of course this messed up the margins.

4 Likes

That’s good pay, better than other government employees and remember, it’s untaxed and everything in the barracks is either free or very cheap.

5 Likes

80K na akienda simalia anadungwa 30K juu

2 Likes