Wamama tumefikiwa 🤣

Taniua. Diss track ya Patello - hamtaki Amani :rofl::rofl:

Nani anajua haka nadai kukarusha kwa balcony before mwaka iishe?! :rofl::rofl::rofl:

Mambo ya wanaume Kenya unless kama umechoka na Maisha kama Betty Bayo! Nani ako na 20 meter za kununulia wanaume wako majuu Malorry?! Wamama wa Kenya eish!!! Is problem yawa! Is problem! Mimi pengine nikupelekee bungee jumping kwa balcony ya BnB , ukipata 10k kwangu utakua umejaribu sana baby boy. Vile me hujispoil siezi share pesa yangu! Hoya chabi chaku Nyina wa Njoro kerori gyaku ndiko kotwaridhia rigi! Hii mapenzi ni kama inalipa, inatafutwa kuliko pesa.