Walking Dead

In Kenya we are literally dead people walking, we just live by the Grace of God.

We:

  1. take sugar that has mercury
  2. eat meat that has a high amount of sodium meta bisulfite
  3. eat fried chicken injected with formalin
  4. eat sukuma wiki watered with sewage
  5. drink dandora home made soda

But we are still alive

Wewe unajua bei ya sukari 1 kg?

:D…at least ugali hawajaguza…so ukianza kunywa ndubia,uwache nyakeh,uko tu sawa

afande najua bana…unaniona aje kwani?

Mbeca sigana?

Wakenya wanatembea na yesu buana.

Now you know why matumbo yako hukusumbua,kukula nyama kila mahali…by the way mkiwa squad huwa mnahara wapi just in case

Mimi ntakula neno tu

Gibleys nilikunywa ya kariobangi nililia wiki mbili

Bora wasiguze Mutura!

Wakenya wamepakawa nyama zao chemical itabidi wakunie kwa butchery ndio inzi zikuje

Watu wa butchery wataanza kurudisha nzi ndio customers wakuje.

Same group na Benji Ndolo

M

…naona pia hawajaguza COOMER!

Kariobangi is the home of counterfeiting.

@Liberty iko kazi.

:D:D:D:D:D:D:D

Our broiler chicken is reared using ARVs

Most of these food stuffs that are claimed to be contaminated, is usually market wars between traders willing to play dirty. Surprisingly none of the condemned goods are ever destroyed.

That’s why we elect drunk/corrupt leaders to lead us