Walimu wabunifu aisee...hebu cheki

[ATTACH=full]180798[/ATTACH]

na bado kuna watu watafeli…

Huu mtihani ulivuja wanafunzi walikesha kuukariri

Ya kweli hayo ? au mmeamua kuwasingizia Walimu?

Kama ulishawahi kusikia mgomo sasa huo ndo mgomo wa bila kuingia barabarani

Maswali ya darasa la kwanza haya
Nalog off

Wewe utajibu vipi hapo mkuu.

Mgomo baridi

sijui coz mim na elimu yang ya drs la 4 sijasomaga maswal kam hayo

Hahah!