Walevi sacco-mid month advance edishen.

Ka-advance tushapatia hao. Wacha wajichoche.
Ata sisi mbirrionaires tumepewa advance na banks ndiyo tuweze kulipa employees.

Wegelea stamp.

1 Like

merge hii thread na ile ya @cortedivoire uwache ujinga takataka hii

2 Likes

Hehehe…
Ambia yeye…

Ochi haulali?

Zii. Nimepata old stock ya WD40 nimeimumunya nikiwatch Magnificent 7.
Kuna kitunguu mzuri iko kwa horizon naifanyia work program.
Umeshafunga road block?

1 Like

Mimi niko sick leave kutoka Monday ,usingizi ilikataa kuja siku hizi.

Pole mzae. Same story ya tumbo ama?

[QUOTEhoma trovert, post: 790599, member: 470"]
Pole mzae. Same story ya tumbo ama?
[/QUOTE]

Nope ,homa omwami.

Nope ,homa omwami.
[/QUOTE]

Ugua pole.

Ugua pole.
[/QUOTE]

Home theatre imekataa kuplay ,wacha nione natgeo ,sadness of peasantry.