wale watu hukaa apa mbele kwa Matatu

kuna this hawa watu huwawezi panda matatu any other seat kama sio apa kwa dere…
halafu this fools wakikaa apa mbele juu kuna two seat mtu mwingine akikuja hawawezi songea…inabidii wanashuka ndio wewe uingiye…ata ukiambia the fool nashuka apa karibu

sasa this people ata uki ingia time ya kutoka.this fool hataki kushuka anaweka miguu kwa side ati upitee…
hawa watu shida yao huwa nini?

17 Likes

Yenyewe mtu anafaa kusumbua kwa gari yake and not in public transport.

4 Likes

Midgets sijui wanazua kwanini…nyinyi ata mnaweza toshea kwa boot mkiwa mmesimama na bado mnainsist kuja kunywa hewa ya watu warefu…gerarahiaaaaa:D:D:D:D

12 Likes

ivo ndio mimi husema…ama unaona gari stage imejaa music na unaona vijana wanafight kuingia iyo gari,nawe unarukia pia .then safari ikianza unaskia mzee anadai punguza sauti…dereva anapunguza kiasi…bado jamaa anasumbua zima iyo radio…makanga anakushow wacha nikuwekee next stage mzee uchukuwe gari haina music…apo ndik mzee ana anza do you know who l am

nugu nunua gari yako

11 Likes

Unless ni shuttle, izi mats zingine huwa stoshei huku nyuma. It’s too stressful if the travelling distance is long. So midgets mketi nyuma na msiwahi sumbua.

9 Likes

Ni miguu mirefu

mimi kutoka dere mukurino atake kunipeana side yangu ka nmeketi apa mbele was my last time…ata iwe imejaa and its the last seat…siwes

16 Likes

kushuka uki ingia anashuka vizuri…lakini wewe ukishuka nyangau inasongea kando unachukuwa 1min kitu ya 10 seconds

angushaa heka kaka :smiley: full HD vile kulienda

2 Likes

Hao wanatakanga akishuka ndio uingie,panda halafu weka mlango lock.

3 Likes

Lakini si amelipia hio seat na ako na uhuru wa kuchagua!

1 Like

i hate such thugs

kwanza morning hours mtu anakuanzia na izi drama

1 Like

hahaha @muchunu kuja kidogo ujibu tommy

[ol]
[li]Sawa nitarekebisha, lakini mnataka kuniambia none of you are guiltu of the above offences?[/li][/ol]

1 Like

he was brake checked due to an ongoing road rage that had started from allsops to pangani(old thika road highway)…mimi na kiherehere yangu nmeketi apo mbele ya fh mitsubishi kama mwenyewe…alifungiwa emergency …yani the only thing i remember was i couldnt move my knees due to the dashboard,glove compartment kunifinya nor my upper body due to the weight of the windshield that fell on the inside…:D:Das i was groaning in pain ,chockosh war was continuing apo inje…the other driver came out with a nyahunyo akaanza kupatia mukurino zake akimuliza----direct kikuyu translation— anafuata gari nyuma aje ni kama ako na harufu.

22 Likes

shida sio kukakaa apa mbele…shida nikujiona kingpin kwa iyo matatu

3 Likes

Ooh hapo siyuko, mi ni mungwana

1 Like

:smiley: :smiley:

Urarumirira ngari yakwa na thutha atia tai wina muruki? :eek::D:D

5 Likes