wakumbwa..

kwani hii budget haisomwi,

Budget gani?..

Budget ilisomwa 2 weeks ago

Sare madre.

Budget ilisomwa same day na opening ceremony ya FIFA world cup kizee

hai not aware…

nitumie number ya peddler wako?

nilikua kamkachya Russia… hape Kenya haijauzwa.

Waku-mbwa ni akina nani?

watu wenye hadhi ya hali ya juu kijijini, magwiji, waliobobea,