Wakubwa

I moved into a house where nikifunga mlango network inapotea. Cant call, text or visit kijiji. Is there a way I can improve connection?

Eka external antennae meffi

Hama

Don’t worry, hapa 001 kuna plot huuzwa between Jan and August only, ukinunua iko dry land, the rest of the year ni swamp ama dam.
Inaitwa Junda… Hata simu pia hawashiki, no network banae

:D:D:D:D

Naona mkono mrefu wa Deorro umekufuata hadi nyumbani. Usisumbue kijiji.

Lala mlango wazi,alafu usisahau kuweka ile curtain ya mlango

kwani ulihamia safe kama ya pesa?

Aki ni kama. Due to work I had to move. The room I got haina network ata kidogo.