Waking up in Nairobi these days...

Can’t even go outside and eat breakfast without the fear of freezing my balls off. What da hell man. Climate Change imeniweza kweli.
[ATTACH=full]452449[/ATTACH]

My heart goes out to all the husslers out there in the morning trying to earn a living. Stay strong. I will buy whatever you’re selling!.

2 Likes

Sasa wewe unalia juu ya baridi na wasee wa London wasemaje??

1 Like

we are entering the age of mass extinction… white bonobos wanaiva na jua, drought inaanza, fresh water itakuwa commodity kama oil:D:D:D to survive the next 10 years, dont be poor

1 Like

https://www.youtube.com/watch?v=1KVw7rwaymY

1 Like

June July hii mwaka is just being extreme for nothing maybe it’s just showing off

2 Likes

Iyo group massage ndio gani

Ni noma sana

:smiley:

1 Like

Hii njeve iko chini fika limuru alafu urudi na habari

1 Like

comfycat
That looks very comfy

Nilifika side za acre 5 nikaskia hiyo baridi iko hapo nikaambiwa hiyo hata haifiki ya Limuru kwenyewe nikasema hiyo place is sth else in terms of njeve

1 Like

…23 more days to go. August huwa kuna ka solar

1 Like