1 Like
Naona umenielewa sasa… niki kisema wakenya wana wivu mbaya sana.
Mbona unaharibia mboka ya msee. Gilbeys are not complaining. Meffi hao
Lakini in all seriousness, why would a man decide to become a nurse? Kwani alikatazwa asifanye welding?