@Wakanyama

Jana nilikua kwenyu interior kuvuna waru… Baridi nayo… Guess hapa ni Wapi? [ATTACH=full]11101[/ATTACH][ATTACH=full]11102[/ATTACH][ATTACH=full]11104[/ATTACH]

2 Likes

Niaje Uncle Nyam

Ukiona shamba iko na diapers (both adult and toddler) jua umefika kwa wakameat, utakuta anafuga fisi sio mbwa kama wakenya wengine

4 Likes

Poa uncle Ice_Cube Hehe @Wakanyama kwani siku hizi anafunga diapers or did i miss something?

jana alikua analalamika shamba lake limejaa diapers

Basi hizo ni zake mwenyewe . Interior watu watoe diapers Wapi na kuna maganda ya ndizi? Hata kwetu t-shirt mzee ni diaper tosha

1 Like

Wakanyama ndio huyo in the last pic

Ulikula lunch hapo Lebanon Hotel :slight_smile:

Aha someone knows the place

Amaco insurance in your car…na Amaco insurance on the top floor of your second pic…inakaa kabiashara kameshika naivasha.

Wakanyama anafunza mtoi wake driving lessons

Huko ni wapi? Mai Mahiu?

Hehehe lakini hapo sio Naivasha
@ol monk Thursday narudi hizo area kumalizia. utaniagizia kambuzi manki?

No. Hapo ni ndani kiasi.

hapo ni murungaru?

umeskia? nyama si nyama kwa manki kama haiendani na banana salad

1 Like

Hehe staki mandizi …
Hapo ni town inaitwa engineer past tulagaa, njambini… Nimepandaa waru kwa msitu abadares

@uncle nyam Ni wewe hapo uki Bypass Pub?

1 Like

That’s among the posh hotels around there :D:D

Five star hivi hivi :D:D;)

1 Like

kama hakuna shamba ya ndizi hakuezi kuwa posh kwako

2 Likes