wah...uongo ya face book....Ngai,some of these photos we upload .....aiiiiiiiii

[ATTACH=full]586[/ATTACH] [ATTACH=full]585[/ATTACH] sometimes when am bored i usually visit fb,but,some of those photos our dear sisters upload and then they get "likes…ai,am not saying they are ugly…am saying they don’t even deserve unlike…dame amejipaka cement kwa uso,some of them look like stature ya tom moboya after game ya kogalo …and still some of your virtual friends wanapress button ya like

imagine these photos got over 50 likes each!!!..if this is good…basi sina taste

2 Likes

“insert full image” mara ngapi utaambiwa

@jameson…pole its my 1st time…enyewe hii si klist

@wonderful wonder Poa, lakini hao ni wanaume ama?

hata kama ni wanaume ,hawawezi pata like yangu

Kila nyani na starehe zake, iko wenye wanapenda aina hiyo kabisa, as some villager put it.
Hata wazimu hupatiwa mimba :smiley:

@old monk./…boss ungewapatia atleast 1/10 coz wako hai…0/10???/

enyewe mr monk hiyo iko chini sana, hata zombie haiwezi pata 0/10

wapi mkia yake ???

Wanaume ma binti.

Pic 1 left leg not proportional to right leg

si watu wana chuki, na wakipewa bure hawaezi kataa.

Mabinti wanapenda sana kujishebedua, Ila saa nyingine mambo huwaendea kinyume.

3 Likes

Hiyo pic ya pili hiyo black eye jo!