Wadau saidieni apa.....Xiaomi Redmi Note 5 vs Motorola G4 Plus

Aunty yangu amenipea kibarua nitafutie kijana yake simu sababu amemaliza form four last month. Budget yake ni 10k and below. Nikaingia pale jumia na harakati za kuchambua nikapata Motorola na xiaomi. Kidogo naona io bei iko within budget. Nipeeni mawaidha simu nitarecommend kijana abuyiwe. Akina @Soprano na @Nyamgondho saidieni
[ATTACH=full]275743[/ATTACH]
[ATTACH=full]275744[/ATTACH]

Chukua Xiaomi redmi note 5 that is what have been using for 2 years. AND AM NOT PLANNING TO UPGRADE FOR 3 YEARS.

If these 2 are your available choices, take the Redmi note 5 because it has 3gb RAM and 32gb ROM as compared to that Motorola with 16 gb ROM and probably 1 gb RAM. Here the Motorola is also costing a bit more than the redmi note 5.

Halafu, thumbs up for not putting the Shitty Infinix, tecno, itel and xtigi in your list of phones to consider!

[ATTACH=full]275797[/ATTACH]

Aunty anataka to do away with the kaboy, ndio maana aliniambia nitafute simu italast.

I would recommend Xiaomi but then it’s a single sim device that is if that boy is okay with a single sim device

How will the phone help in doing away with the kaboy?

Anataka kubuy simu kijana atadumu nayo tumiaka. Hataki kuitishwa ingine ivi karibuni

Kijana kama amefanya form four then already ashajiondokea

Jumia na electronics Kwanza phone inaweza kweli?

Nezapata wapi Hii Redmi apart from Jumia at the same price?
Need it today…thanks