wadau njooni

wakubwaaaa! Offlate life imenikujia tu sawa na nimesahau kuenda Gym. Nimeanzia kupack kilograms tena. Kurudi gym ni tricky kidogo…okay naeza rudi but sio sahii. Nataka mniambie ndameza tembe zipi so that hizo kilograms zi siendelee kuongezeka.
Na msinipee BS ya Gym sahii. Am retired till further notice.
Yours truly/lovely/man of ya dreams hoe
H.E, A.G

Squeeze Fresh lemon juice into warm water and add 1 tea spoon of natural honey from Ukambani on an empty stomach in the morning for 1 week .It worked wonders on me…

Na nikieka ndimu nashoro ile nimeslice kwa neighbor.

Mimi sijawahi shika dau.

Uko tu sawa

Mujinga. No wonder weight inaongeseka tu pwaaa. Umeambiwa squeeze fresh lemon juice.
Squeeze. Fresh. Lemon.

Halafu unaulisa swali kaa hiyo…smh

Tulia,nimekusikia

Myths and rumours. If it were that easy, there wouldn’t be any obese people.

The fix to being overweight is to fix your habits, no shortcuts.