wadau , introvert saidia

Nimepigiwa simu jana by my dog trainer all the way from Kimilili ati hii dogi ya mine ,Munchy ( the one on the right in the pic on the left is Museveni ) imeuma dogi ya neiba during training . nikachukua simu na kumpigia tuongee .jamaa amerusha expletives na kuniambia tukutane kortini apparently it gnawed off the ear during the confrontation . whats the worst that can happen issue ni mbwa yake ni rare breed na jamaa ako na kakitu .

nimeambia Handler aisafirishe kwa Grandpa pale Sirisia kwanza hata wakikuja wasiipate nikijipanga coz ill never sell it . i love it .

@Mundu Mulosi unajua nani pale police station ya Kimilili ama Bungoma nione vile naeza mjenga .

[ATTACH=full]139609[/ATTACH] [ATTACH=full]139610[/ATTACH]

Hii sasa ni kusumbua @introfart , mbwa ikiuma ingine tena ni kesi. Ati rare breed, mbwa ni mbwa.

mumbwa ili-gnaw sikio kwani ni mfupa? i guess it tore off the ear…

Whatever…

Uncle bado unatumia jualaa na zilibaniwa?

Kunia ulale

G4S dog training center on Ngong rd.

:D:D
First off, Munchy ni jina ya Upusu saidi. Ati ‘Munchy’. Ata afadhali ungeiita tu ‘Guok’.
Hiyo ni kama ile sabuni ya kipande inaitwa ‘Sabun’ ama ile tea leaves zinaitwa ‘Majan’.
Sheppart ilikuwa inaprotest jina yake ile design ya ‘what’s in a name’.
Kisha, ongea na @Gio akuinventie prosthetic ear made from delicate strands of 1 nanometer cabon fibre strings woven intricately using a laser-guided loom to match the opposite ear and attached using organic adhesive, halafu na micro-sensors kama nerve endings.
Dogi haitajua iko na sikio bonoko.

:smiley: Uwes hii mungikiress yako ina knock knees na ulikua unachekelea Slay queen wa mtaa? :smiley:

Tutatengeneza na graphene kisha 3D print hio maskio :D:D:D:D

Baas.

Makanika tengeneza epoxy resin

Huwa sikosi Araldite.

neighbor sounds like a bitch, solution depends on where the incident happened kama ni your compound uko safe. kumbuka burden of proof is on the nigga so dont admit to anything ama pay off someone to do something

that dogs looks nice. ni ndume ama jike

Ati “Guok” ama SUDHE

Kwani unataka Kudinya sheperti ya @uwesmake, Lichoti kaa ridho, mlosi anaeza tembelea wewe gizani

I can see you are a Dog man/woman as per your avatar, Its about love for the Dogs ama wewe ni mtu wa paka? shenji

Kumbe unaishi on the edge of kakamega forest halafu unatupanga hapa ati kimilili?

:D:D:D:Dwacha kunimalisa