Wadau, I have lost my phone

Downtown ni kumoto my frens. Nimepatana na kijanaa story mingi mingi kidogo kidogo ameniibia phone.
So my question, is there anybody here who can be able to track and trace it? @pamba @Ice_Cube @Tarantinoh or should I just accept and move on.
It is LG V10 so it is not very cheap and it got some important stuff.
If there is anybody who can do that anione inbox na pia bei and I will appreciate.
Wacha nilale ata gauge imeshuka.

3 Likes

Downtown upande upi specifically?

Check inbox Mkubwa, ulifika town saa ngapi bratha Na hukunidungia.

1 Like

:D:D Umejua haujui? Anyway mzito i hope you had activated anti-theft

2 Likes

Pole kaka.

Kuna siku nili poteza simu hivo. Nilikuwa peke yangu kwa hao so I just slept. Asubuhi nikaenda kwa neighbour akanishow tuipige tuskie kama isha zimwa. Akapiga ikaingia tukaskia iki ring kwangu. Mbio mbio kwenda kucheki ilikuwa kwa trao all along. Kumbe nili lewa ile style ya kutafuta kiberiti kama umeishika mkononi.

31 Likes

wacha tuone nudes zile we hutumiwa kesho kwa Captain Frisk.

11 Likes

Pole boss. Simu huwa painful kuchange ownership.

1 Like

Pole sana… Downtown pande gani??

1 Like

I had a friend whose phone was snatched. The crook sold it. Friend used some CID/cop to trace and it was found a few weeks later. He had to grease the cops hands through. Problem is sometimes the cops just want something out front with no guarantee of service or result. They do have the capability to trace it if it was not tampered with and is being used.

1 Like

Hapo tu former kampala coach

1 Like

Nilifika but nikaingia meeting kidogo hapo moi avenue. Infact simu ikienda nilikuwa natoka kupiga boi wangu mwingine escort alikuwa anapanda mat hapo tea room za kwenda embu.

1 Like

thanks man. hapo tu former kampala coach

:D:D mshenzi

1 Like

Iza joh, but hiyo area has lots of mateja

2 Likes

Pole sana bro

1 Like

Izza joh, hop haikupepea violently

2 Likes

Pole ango hope ulikua umeweka remote Erasure of stuff …simu Mimi siku hizi Ni techno ikienda kesho nareplace line na kushika ingine all less than 7k

6 Likes

Kidogo kidogo utaiona ikiuzwa pale soko nyeusi 5k

3 Likes

Pole kwa masaibu mzito

1 Like

Oooooh ooooh hapo ni hotspot wild whores from uthiru !

2 Likes