Wadau hapa vipi?

After kupambana na matope,mvua,pressure na kanjo,nyumba sasa naelekea kuimaliza.Kuna talker alikuwa anataka nyumba side za imara kindly inbox me I give you directions uje ujione nyumba kurembeka.@Purple ile project yako vipi.I will gladly accept it nanikufanyie kazi safi sana.[ATTACH=full]163227[/ATTACH][ATTACH=full]163228[/ATTACH][ATTACH=full]163229[/ATTACH][ATTACH=full]163230[/ATTACH]

ni hii?

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/kitunguu-inuke.57190/

Good job mujamaa

iyo ni yaako.?

Aisee safi sana!

singo room pesa ngapi?

Ni kali. Lakini swali tu, huko hakunyeshi nikuje holiday?

Thumbs up, uko mbele tu sana. Hope you factored in provision for installing a lift down the line.

ile ya wildfrank ilifika wapi?

Hapana

Haina single rooms

iyo ni pesa ya hongo… wawawaaaaa

swadaktaaaa

Hapa umenukisha more than kitunguu.Good job jamaa.Naona cashflow haikuwa shida.Hiyo project imeenda haraka sana

Good work Kirwa. This are the type of threads we want here.

Hii ni ile job ulipata sep last yr? umeipeleka faster faster

Utahama lini?

Ndio hiyo sasa

Mwenye nyumba alikuwa ananipeleka mbio sana

Hii Ni kazi mzoori aisee…

good job but those rails, kids can’t fall through?