Hi,
Ngoma inogile…ni mwendo wa kuwafunza tu hawa wadada wa sasa ambao wanajifanya wa mjini.
Nawashangaa sana wadada wengi wa leo yani hela kwao ndio penzi.
Wamegeuka malaya wale wanaojiuza bila ya wao kujua, alafu wanakaa wakisubiri ndoa.
Nani anaoa malaya anayejiuza maana kazi ni kuomba hela kama ombaomba.
Wakikaa na marafiki zao utasikia kama mwanaume hana hela wa nini!
Wanaume nao wamewajua wanawachezea haswaa…pande zote…hamfai hata kutazamika.
Mmefanya wadada waliotulia wakose ndoa kisa kujiuza kwenu.
Huko ni kujiuza wadada…badilikeni.
Povu la omo nasubiri…
Demii
June 16, 2018, 5:07am
2
Hela wanaomba, wanapewa na kuolewa wanaolewa. Asiyeolewa huyo ana yake mengine!
kaazi kweli Kweli!kuomba hela ni dhambi?
Demii
June 16, 2018, 5:27am
4
Angekuwa na hela wala asingelalamika. Ulafi wake wa mbunye anataka apewe free. Hakuna kitu kama hicho…
Atulie na mwanamke wake mmoja atakayekubaliana na ubahili wake. Tatizo atakuwa anatongoza hovyo hovyo na wadangaji hawakosekani.
Usser
June 16, 2018, 5:32am
5
Wako kaz kwa upande wao wanajijua
Kabsa l
Usser
June 16, 2018, 5:34am
6
[quote=“Demii, post:4, topic:163699”]
Angekuwa na hela wala asingelalamika. Ulafi wake wa mbunye anataka apewe free. Hakuna kitu kama hicho…
Atulie na mwanamke wake mmoja atakayekubaliana na ubahili wake. Tatizo atakuwa anatongoza hovyo hovyo na wadangaji hawakosekani.
[/QUOTE
Kuna watu hua wanatongoza tu
Ilimrad sket ispite bure mbele yake[/QUOTE]
Demii
June 16, 2018, 5:36am
7
Usser:
Na kama ulivyosema wadada wengi wanafanya makusudi kabisa kuomba hela, iwe kwa kujiuza au kikawaida tu.
Usser
June 16, 2018, 5:41am
9
Yeap maana c lazma wakadange
Kimboka (tz) au koingange (Nairobi)
Ndo wajulikane wanauza
Hii mitandao yenyewe n biashara
Tosha kwa
style or mode of exchange zinatofautiana…permanent mnunuzi (MME MWENYE PESA YA KUNILISHA) or varied wanunuzi
Hela sio penzi ila penzi linastawishwa na hela.
Kula kutokana na urefu wa kamba yako …acha kuja kulia lia huku
Inaelekea unaomba hela sana
Usser
June 16, 2018, 7:07am
14
Yaah hyo nayo inategemea
Maana Kila mmoja na usawa wake
Kuna wa very cheap na wa very
Expensive so mnunuz anacheza na
Mfuko wake
Punguza kutongoza hovyohovyo oa mke wako utulie nae.
Hahaha Mkuu unamaanisha hakuna mbunye ya bure. Wi havu to pei fo pusi
Achague wa bei rahisi. aache kupenda vitonga