[ATTACH=full]495943[/ATTACH][ATTACH=full]495944[/ATTACH][ATTACH=full]495945[/ATTACH][ATTACH=full]495946[/ATTACH]
Hii imekuwa masekete
iyo ni 150 dallas ama 15k, hapana ni 10k
Bora engine iwe sawa, huko kwingine ni panel beatings
Hii ni mkebe.
Manze US ndio wanajua kuuza gari used. Huku Kenya people are still factoring in import duties into the price of second hand vehicles. Hiyo ni upuzi gani?
Wapi mbisha ya interior
Needs small body work… Yeah right:D:D:D:D
Chukua hasora fad. Weka kuku ndani. Uza mayai. Bottom up
Inakaa frame bado iko intact. 200k ni mob though. There is an old Renault my old man had bought at 30k, spent 90k on it ikarudi fom :D:D:D. I still cherish the memories we made with that car
Akatekate auze scrap metals
200 k for what,hii iko na mashida mingi Sana
Hii apèlekee wale wasee wa ‘we buy grounded cars’