vurugu

i think hii ilikuwa back in 2015 or 2016 siko sure ni mwaka gani. nikiwa long holiday ilikiwa August tuliitiwa pool party flani ilikuwa na huko brookshine. wenye hawajui brookshine mahali iko, iko na hizo sides za ruai some metres before haujafika joska na iko mbele ya kamulu kiasi watu wa ruai wanaeza. kufika iyo sato gizani tukasonga ivo juu pool party ilikuwa overnight. kufika huko tukapata form imechrome raiya mbaya sana manze.

ubaya ni ati ilikuwa ni cock fest. ilikuwa imechrome mandume mbaya sana. ndume zilikuwa kama 30 na kunguru zilikuwa kama 8 ivi saa compe ilikuwa stiff mbaya. kufika gate tunashoiwa kuingia ni 500 kwanza tukacheka juu hatujai punch sisi. msee alituitia form alikuwa arif alikam alafu akatuingiza ndani. tulilipa 1200 mtu kumi tukaingia ndani. wengine walikuwa huko nje waliingilia kwa dirisha ya choo na fence hapana tambua. form ilikuwa tu sete juu dj alikuwa ameweza mangoma vizuri tu. so raiya ilikuwa ikipiga roundi kwa pool saa hiyo tumejipin mzinga tano ivi mbili za legend, moja ya kc, moja ya napoison (napoleon), na ingine ya best.

ngori ingine tena kulikuwa na raiya ya jericho madoggy sana. hiyo raia kwanza ilikuwa na dame mwingine kiatu manze alikuwa amekonda na ati anadai anaeza tingisha. ng’ombe yeye labda atingishe mifupa. sasa kutembea hapo fala jamo ya jeri (jericho) ikanigonga intentionally ikaniangalia ikidai nitafanya nini, nilimuangisha kidevu kwanza akakaa chini akatulia akafunga mdomo. kuna boyz flani anaitwa Giddy huyo naye ni ngori kwa mkono anakuanga na reflex ingine iko fast mbaya. boy mwingine akatusi Giddy alikuwa amekalia seats za huko akadai Giddy hakuna any atadu Giddy akamshow ateremke down aongee ivo msee alifika seats za second last aliangushiwa videvu tatu za haraka akalose balance akachapa chini kama gunia ya viazi zimetoka Murang’a jinga yeye. mwingine akanisukuma ndani ya swimo manze. boyz flani anitwa Ndegwa tunamuitanga De Gea alimpiga spear hadi chini videvu alimpea noma sana. mwingine akadai kupiga Giddy na chupa ya mzinga lakini wapi Giddy aliicheki akai miss kama amemuwai kahasho (ngumi ya tumbo) jamaa kwanza alikaa chini juu ya kukosa hewa malaya yeye.

vurugu ikakuwa mob tukaskia ma mbang’a wakaitwa. very fast wakafika tukashikwa sisi tukapelekwa room flani hapo. saa hiyo raiya ya jeri imeachwa huko. hao ma mbanga nao walikuwa wanaongea matope. walikuwa wawili nikidhani walikuwa @pamba na @Tarantinoh
mmoja akaongea ‘vijana mnajua mmenikosea sana. mmenitoa juu ya kuma. nilikuwa nakaribia kumwaga alafu napigiwa simu ati mnasumbuana hapa’.

huyo mwingine pia yeye akabonga ‘sasa tutafanya ivi mtatupea hongo alafu hii maneno iishe mrudi ndani mtulie ama tuende stenje mioshe ikuwe safi kama matako ya mtoto’.

saa hiyo ni saa nane ya usiku. ikabaki tumewapea rwas rwas kila msee. tukarudi ndani. akachapia watchie tukileta noma awaite tena. tukatulia lakini wapi vurugu tu ilitokea boyz flani alikuwa anaitwa @niite tu jonte alichokozwa wee sisi kama raia tukafika huko mkono ikatamba mbaya. dame mwingine alikuwa akipiga nduru nilimpiga kibare akanyamaza pap kumbaffu yeye. kiasi kiasi makarau wakaitwa tena kuskia wameitwa sisi hao tukahepa tukarukia dirisha ya choo sisi wengine tukarukia fence apana tambua gate. kujitoa ivo tukapatana na hio raiya ya jeri wamepiga laini mtu kama nane ivi. kutembea kiasi jamaa akadai kupiga De Gea na chupa lakini wapi nilikuwa nishaona hiyo chupa nilimyanganya nikaitupa. sasa wakadai kutuona war juu raiya yetu ingine ilikuwa imehepea dirisha ya choo ikatokea place ingine sisi tulirukia fence ndo tulipatana karibu na gate. wakati walikuwa wanadai kutufikia nilicheki Giddy ametoa nyororo akaivurutia chini ya lami (entrance ya huko ndani ni lami) we design hao wasee wa jeri waliburuka noma sana.

kiasi kiasi tukaskia sauti ya ki landy design tulipotea hatukuonekana makarau walikam lakini wapi sisi hao tukapitia njia flani inakuanga kando ya rive. tukapatana na hiyo raiya ilikuwa imehepea kwa choo karibu na kamulu saa hiyo ilikuwa kitu 3.30 hapo bahati tukapatana na shuttle ilikuwa inaenda tao tukaidandia na kila mtu akarudi mtaani

Aai

First of all you beat a woman hayo ni makosa. Second of all hii hekaya vile naiona ni uongo ni kama ile ingine ulituambia umeibiwa simu na bado utapata message. Third of all huko eastlands hakuna swimming pool.

Mrume vaite imeshika kabisa sasa ni story za urongo na kweli. Nyahunyo ilitoka wapi kwa bash. I wish I didn’t read

Story zake are full of what gashwin calls hubris

Not bad, not bad. Stick to Sheng apana rape English tena, sawa kijana? Alafu rwash ndo nini tena?

Hehe … Why are you guys deflating this guys boner? Mujamaa alikuwa hio bash nyinyi hamkuenda

Thats the thing kush hakuna mahali huyu msee alienda there is nothing to deflate

How old are you again?

Hehe … does it really matter. Kuchanganikiwa ni kwa muda

Soma hekaya na uache mdomo msee. Na uache haraka ya vidole.

na kwani leo ktalk watu wamevuta bangi gani… nani ameongelea story ya nyahunyo??

rwas ni rwabe

mdomo iko ya kuongea. ongea tu.
mdomo huongea lakini ukifika choo mdomo hunyamaza kabisa!!

peasants everywhere…

Tall mnyama kama hekaya ni mbovu kubali wacha kuongea matope

judging from the comments, hii sisomi but I can’t afford not to thank you for the time invested in typing this… it’s not easy aisee

Acknowledge the source.
Hii hekaya ume plagiarise from zile movie za wachaina… Zile za akina Wang Chang Li.

Hehe … sijui nacheka

:D:D:D
:D:D:D:D:D
:smiley:
mdomo ikifika choo itabidi ifyate mkundu itake over