Vurugu halali kwa CCM kutetea majimbo yake

[INDENT]Ohoooo Gambo Anasema CCM wafanye vurugu ili Jimbo tu la Arusha lirudi CCM! Msisitizo, Wafanye hata Vurugu… Hii kauli ingetolewa na Upinzani mmmmghh…

Leo May 27, 2018 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amefungua semina ya umoja wa wanawake wa wilaya ya Arusha mjini ( UWT) yenye lengo la kuwajengea uwezo ikiwa ni pamoja na kuelekezana namna ya kutimiza majukumu yao pamoja na mada za kuwajengea uwezo.

Gambo amesema jimbo la Arusha mjini haliwezi kugawanywa kama inavyozungumzwa na katika uchaguzi ujao kwa gharama yoyote jimbo hilo litakuwa la CCM
[/INDENT]
SIGNATUREWhen You know that the Life of others depend on you, you dont have the right to be afraid…

Uchizi tu.

Katika kauli za hovyo ambazo zimewahi kutolewa na viongozi wa CCM, basi hii ni mojawapo…

Kumbe ndiyo sababu za Magufuli kuporomoka sana umaarufu wake kwa wananchi.

Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa huyu Rc ni mboga kama mwenzake wa dar.

Baasi kama ni hivyo megafool ni basha! anachagua mboga za kula akiena ziarani! Gambo = Gasho=Shoga

Yana mwisho wake lakini…

Cc: @Mahondaw