Voice box

Its not like there is a voice bank somewhere. Would love to hear talkers voices. After all, this kijiji is a talking kijiji. Say your name youall.

Sija elewa kitu hapa?:cool:

1 Like

Kwani umechanganya viceroy na nini?

1 Like

Eeeh. Huo mnazi wa leo umeuchanganya na supu ya jana ya omena? Kunywa maziwa kisha utuelezee jambo gani wasema kaka.

1 Like

Boss, hata kama walisema bangi ni dawa ya cancer, inahitaji moderation and prescription.

2 Likes

[ATTACH=full]13366[/ATTACH]

1 Like

Mabenda chukua pickup uende kwa shamba :slight_smile:

1 Like

Am trying to upload my voice but the site inaniambia error of a file missing an extension or fathom. If i could, i would. I might.

Upload it kwa dropbox then share; but then again what’s the purpose for doing so…

To hear sauti nyororo

You might need some editing software. Maybe the file is not recognized by the platform you are trying to upload it to.

Would love to hear sauti ya @Purr_27 think she has a sexy husky voice :slight_smile: