Vituko fya ferry

Leo mchana ferry imeona hakuna matatu kwa stage ikaamua ifikishe wathii Baroda.
[ATTACH=full]157948[/ATTACH]

fafanulia sisi watu wa baara…

Hehehe. Naskia ilikuwa high speed ika overshoot runway ya maji

Pilot alikua anashugulikia samantha kwa cockpit akakanyanyanga accelerator instead of brakes

The ferry is out of the water,

Hehehe

:D:D

Hii wacheni nicheke tu… :D:D:D

:D:D:D

Hii ni kazi ya @jumabekavu!
Walimnyima tender ya kuganga port!

Gari ziliondoka vipi?
Na waabiri je?

I never knew ferries also beach like stranded whales.

Gari zilitoka poa Juu ramp iko flexible, shida ni ferry lazima igojee extremely high tide ndio irudi kwa maji

Now you know

Sema captain. Wacha kutubadilishia jina.

Baharia niaje, bado nimekwama Mathira (Mazeras in Greek)

:D:D:eek:, He will have a hard explaining how that happened.

Hehe.
Wina import kana. Ndi mint.

How often is this tide?

Wakti wa full moon