vipi wanaTalkers

post your favorite cologne and fresheners for your house/car na bei…bisha pia if possible

Nataka cornraws, pesa di?

Mwanaume ni kunuka jasho boss. Urembo achia madame

Hii inaitwa 9 hundred.i got it the other day and i like [ATTACH=full]13250[/ATTACH]

yangu hii hapo[ATTACH=full]13253[/ATTACH]

2 Likes

Brathe acha kurukisha mdomo kama ujasoma!! Ameulizia fresheners za ndinga ama hao… Keja yako unuka jasho?? Ongea kama mtu mzima

1 Like

Kwani ulibadilisha jina?

-Cobra
-Brut

Hahaha, kuna mujamaa hajaambiwa poa hapa :D:D