[ATTACH=full]177006[/ATTACH]
Haaaaaaahaaaaa
Jamaaa kapangaa ngazi aseee
Our guys has so much time to the extent of posing in of the cameras and faking life they are not living
Savimbi
hakuna watu wanafiki kama watu wanaojifanya waumini wa “ujamaa”
Mkuu umerudi kwenye siasa?
Dah hapana unajua huku ugenini kunanichanganya
Mkuu rudi tu, kizazi cha baadae kitahoji kwanini tumeruhusu kuwa na aina hii ya viongozi alafu tutakosa majibu
Umeliona tangazo? Tunarudi home muda si mrefu[ATTACH=full]177040[/ATTACH]
Leo ni siku ya3 yangu liwekwe
watoto wazuri msiwe na roho ya kutu kama baba yenu
Duu…! But wakati si milele… Na wakati hauna rivasi… Every day passed its another milestone kuelekea kumaliza kifungo
Duuuh hatar
Baba mzazi alishafariki aliyepo ni wa kufikia
Nilidhani huyo aliyewabeba ndio baba yao
Tuipende tanzania wakuu
Ni mwendo wa kuijaza dunia tu
Nalog off
Aisee jamaa nini bingwa wa kuigiza