Villagers wa JamiiForums ndani ya Kenyatalk

Mjadala kati ya New Villagers, Villagers, Senior Villagers na Villagers Elders ndani ya Jamii Forums ukimbizini unaendelea…

[ATTACH=full]176350[/ATTACH]

Namuona mwifwa amevaa shati la wanakwaya…

1 Like

Hahaaa…na mi nimejiona hapo

Hahahahaaaaa! Mwifwa unaitwa huku…

Kumbee tupo wakimbizi wengieee

Hahahahha

Hili ni baraza la village limekaa linataka kuwapiga wale wanne pale BAN

Haaaahaaaa. Mimi Mwenyewe yuleeeeeeeee.

Duuuh, Wakimbizi wapole hatujui tufanye nini

@Hajar njoo kikaon usimsahau @Davet pia

Huhuh! Mimi nimeshawasili

Mie nshajongea pia. Ila natumai nyie Ma Village Elders ndio muwe wazungumzaji wakuu. Hahahaaaaa.

CC. @Davet

Ila mleta uzi hujafanya fair aiseee. Kulikoni sisi Ke hujatuchukua kwenye hako kapicha.

Naona karibia wote ni Me. Hahahaaaa.

Umeona ee ndo maana tumejialika wenyewe,picha ya pili hope tutakuwepo

Nimemuona na mie aiseee. Ila una macho bana Mkuu.

@Davet naye ana kashati keusi sijui kama umemuona ( ndukiiiii)

Hahahaaa. Kweli kabisa rafiki.

Sie tupo huku nyuma ya mpiga picha. Hahahaaaa.

Hahah!! Mchokozi sana wewe

Ngoja nijione

Dah hatar sana

Hahahaaa. Lol.

Nimefanyaje sa mie rafiki?