Villagers Saidieni.Depression is real

Hamjambo wanakijiji, Mimi sio mgeni hapa, hio handle ingine yangu ya @Lecturer ilitupwa Siberia na @admin .As you all know, I am a part-time lecturer pale FASS Egerton University. To my story. I believe naweza saidika hapa na nsaidie mwengine by sharing. At least burden itakuwa imepunguka. This is not a scam. Anybody willing to help can verify my details na story.

My story ilianza last year Jan after my dad alipata accident na akapata double fracture. Kupelekwa North Kinangop hosi akalazwa hadi August 2017 ndio alitoka. So as a first born nkachukua usukani kusaidia maybe na stori ya fees naf kurun familia from my pocket… I have two siblings at uni… kimathi na KU na wawili highschool. tumu tumu girls na mahiga girls. All was well, I had even a side project ya dairy cattle na goats.
Mambo yalianza kuenda mrama This year March. Mshahara wa part time lecturers ukaanza kukosa,tunaambiwa tuvumilie, Nairobi ujue she Tani akianza kukutafuta hata ugali itakung’oa meno, April nikirudisha Buda hosi, tulirudi home nikapata ng’ombe plus mbuzi zimepata miguu, nilitafuta hadi kwa cupboard, anti stock theft wakajaribu kufuata zikakosa, hivyo ndio around 300k yangu ilizama.
Kumbuka ni mimi nasimamia fees za high school na upkeep uni, nikaapply bursary mmoja akapata, mizigo ikapunguka or so I thought, May, shetani akanipata tena, nikapata fracture kwa Mguu, nikaakaa nje hadi June nikarudi na clutches, Mshahara nayo mnalipwa kiasi, kama 20k Ivi, ati ya kuwakeep running. Rent nikaanza kudefault bila kupenda." Marafiki"nao wakaanza kuenda missing. Nakumbuka June siz akafukuzwa ju ya fee na skuwa nafeel any, nikaenda nikauza system na screen nikamlipia. Mambo badala ya kuwa mazuri yanazidi unga, June, July hadi wa Leo hakuna Mshahara. Nikauza Lapi na phone nikabaki na mulika mwizi npate fee na upkeep ya third term. All this time mum hajui vile Kunaendaje ju kumwambia ni kuwaua.
Kwangu saa hii nimebaki na bed, nguo, meza na gas tu… Nikapata ulcers ju ya stress, natafuta relatives na Marafiki Hakuna wa kusaidia. The straw that broke the camels back ni vile Mwonya Vc wa Egerton alipatikana na scandal.wakasema tusimamishwe kazi kufanyiwa audit, Mshahara ya miezi kadhaa Hakuna. Nilijua niko pabaya after kuenda kujaribu kutoa stress kwa uwanja nikavunja rackets mbili kuzipigisha chini… Nikajifungia kwa nyumba wiki moja nikasema kama mbaya mbaya, nikaenda mjengo last week. Landlord ananidai miezi nne. Jana kutoka mjengo, nilipata ameningoja, kujaribu kumweleza achukue ili 3k nlikuwa nmelipwa na mhindi huko Vaghjiyani Enterprises, akasema Anadai miezi nne na akafunga nyumba.nilikunja mkia nikaenda tukakaa na mawatchie wa eger kukakucha Leo…
Kama kuna anyone anafeel anaweza nsaidie na chochote nitashukuru.kuna @4makind anaweza waambia tukipatana na yeye Dec last year nlikuwa hustle kuchomelea Tinga za wazungu kutafuta kitunguu. Naomba mnisaidie hata kama ni kulipa nyumba tu, ntaendelea kuhustle mjengo hadi Mambo yawe shwari.hata kama ni soft loan nitapata nitashukuru na nitanitahidi kulipa. Egerton Sacco nlienda @uwesmake Akaniambia siwesi pata loan ingine hadi nilipe yenye niko nayo. Kcb mpesa na mshwari vile vile. Namba ni 0710 723 295.

nimekuweka kwa maombi juu dhahabu na fedha sina

Nashukuru kaka

conman si upeleke yeye newzealand

This is a very sad story. I just hope it’s not true. Anyway, it shall be well. Will see.

kaka, I can’t make this up, ukitaka kuverify chochote niambie I give you details from North kinangop hospital, ripoti ya wizi na anything else hadi risiti za shule

upande upi? That image haiload kwa phone yangu

yeye na akili zake za ujinga anafikiria ana kuexpose

Sasa kuniexpose hata haiwezi uma hata kiasi, mahali imefika mwili na akili hauhisi uchungu tena. Gani itazidi kuwachwa na dame yako, mabeshte na kulose kazi bila Mshahara? By coming here I was ready for anything.

niliweka pin wrong. wacha nirudie

Pole kaka nimepitia kitu kama hio, nilipoteza job tu in a certain univ. Nilikaa jobless for 4yrs, tried many things mpaka saving zangu kama 2.5m zikaisha. Nikaenda kwa lecturer wangu wa zamani nikakuwa technician wake, nimepata scholarship siku hizi imekuwa afadhali. People go thru alot and in the process learn alot. Those family members i used to pay fees for walimaliza and imediately moved on. Hawana time na shida za wale wadogo, they mind their own business, what a waste of resources and time. Maybe I deserved this for being stupidly over generous to an extent like i was trying to correct God. Sina kitu kwa mpesa lakini…lakini nitakutumia kakitu baadaye

Thanks for sharing. Mimi siwesi wachilia my siblings hata kama ni kuenda hell and back. mambo nimepitia na wazazi wamepitia siwezi taka kuona wakipitia.

you were not stupid Shaka.
mwalimu pole.

usiwahi kejeli au kudharau mwenzako akiwa taabani, ajuaye ya kesho ni maulana

check inbox

Nitakuskumia kitu.

All will be well pokea 530 kutoka kwangu ,check your mpesa ,my initial are t.m.m

Nakubali depression is real.

Ghasia! Grow the fuck up.

Nimepokea Afisa. Nashukuru Sana.
Mzee gashwin Nashukuru pia.