Village Elder

wapi makofi ya Fala12. finally amekuwa village elder hata kabla ya talkers wengine wanapost ushenzi ili wapate likes… too bad fala ameumia haezi enda kunywa naps ya kucelebrate

[ATTACH=full]4619[/ATTACH]

1 Like

Welcome to the exclusive club . Pole kwa maumivu.

Hapo pouwa, sasa nunua kitanda ya kulalia na blanketi fiti unatuangusha kama fellow village elders

1 Like

Nani amepea hii fala cheo. Sisi kama elders tuna Anza mchango ya kukununulia fiatu uwache kukunyanga chupa

1 Like

niko kenya mzae. hii picha ilipigwa mchana

asante sana doc nimepoa

fellow elder kanono inakaa unono inapotesa wewe macho. hio ni kiti bana na picha alipigwa mchana

mchango ikuje mbio mbio ili mguu ikipona fiatu fiwe fishanuniliwa

Fellow village elders? You are not yet there son. One more step, one only.

sa mnataka kutuambia mkiongezewa cheo kuna listings only u guys are privy to ama bado ni zile zile si huget…kwani mko class 2

kings and servants don’t dine on the same table. BOW DOWN AND KISS THE RING

@Fala 12 Quick recovery.

hahaha bado hujahitimu miaka ya kuketi katika kikao cha wazee

Heshimu wazee kijana.

it has been a great battle

:smiley: :smiley: Tell them! :smiley: :smiley:

Mguu wa left ama right?

@Fala, hii mambo ya kukimbizana na nekesa Kwa miwa uwache. Mguu ya mkamba si ngumu kama ya watu wa huko bungoma.

1 Like

Ama umejoin hii dini? [ATTACH=full]4635[/ATTACH]

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley: