VIJANA WA LUMUMBA

Hivi nao watakuja huku ughaibuni waanze kumsifia malaika mkuu jiwe?

ttps://www.youtube.com/watch?v=KxYSbJu2P1I

Lazima wanisifie kwasababu nawalipa kila siku.

Kuwa makini dikteta. Usije olewa humu.

We dicteta uchwara vipi tena?

Jiwe katugeuza wakimbizi huu mwaka hauishi na yeye domo lake litashindwa kuongea…kajifanya kupiga ban mpaka mods wa JF ila tumeibukia huku hatukubali kushindwa kirahisi vita na fisiem iko palepale

Bavicha mpo

Si unamuona huyu anayejiita Mwanasheria kumbe ni uchwara fulani tu…
Umejisikiaje kufungiwa kwa JF na kichaa wenu?

Habari ya hapa mkuu??

Stroke kawatangulia kuja, hivyo wako njiani. Wanaumia rohoni kufungiwa jf lakini wafanyeje wakati wameshaamua kumsifia jiwe kila anachofanya

Umekuja na huku wewe mgonjwa?

Wanaumia kimoyo moyo, wazee wa kusifu na kumwabudu jiwe

Mkaribishe mwenzio jingalao

Sia ajabu ndio yeye mwenyewe maana kule walikuwa wana id tatu tatu.

Hahahaha

Kwani uongo wewe huna stroke ya ubongo?

Lazima waje. Bila kusifia hakuna kula. Kuhamia huku ni kutokukubaliana na mkubwa wao, lakini kwa maslahi binafsi kama kawaida yao lazima watie timu hapa kijijini.

Safi kabisa.

Uwepo wa hii kitu mtukufu JIWE lazima kajiona fala sana