VIDEO CONVERTER (VHS)

Vipi wana kijiji? ni wapi naweza pata mtu wa ku convert zile tape za movie za kitambo (video cassette) into sopt copy ama iwekwe kwa DVD? Any contacts will be highly appreciated

kama ni movie ya kitambo unatafuta enda youtube utazipata zote huko. Ma veteran walisha convert all those movies to soft copy na waka weka kwa youtube…juzi nili watch jurassic park ile ya fao on youtube

sio hiyo brathe, ni tape ya harusi ya maparo ilikuwa nataka kuchangamkia

I, too, would appreciate some assistance on the same.

Go to those video editing guys they have some sort of external hardware that helps convert those analogue videos into digital ones…Pinnacle video card kitu kaa hio…last time I checked it was bloody fuakin expensive

call this guy 0722 167426. anaitwa jopa ako ramogi building luthuli avenue

unaweza kuwa na contacts zao? thanks ata hivyo

There is a machine that can do that inauzwa ebay and/or Amazon and its not that expensive.
just watch how it works.

https://www.youtube.com/watch?v=ODPTqWNvRgw

wazi Kambuyu

nice nitaconvert zangu pia…