victoria kimani si ana maringo

Nani aliambia huyu victoria kimani ati yeye ni star.Sijawai skia ata wimbo moja yake.Kujiona mzungu kuliko wengine ndio anajua.

pliiizz quit hating amefanya collabo na some international artists,akona song kadhaa one of them being toto…plus ni mrembo…i loved remiz yake na flavour kwa coke studio…so feelings pelekea bensuda!!!