VIBOKO ZA MACHO EDISHEN

Wadau kesho niko na exam ya Smith&Hogan.Only managed to peruse through a few cases na nashuku itakuwa viboko za macho tu.Mniombee saidi.Usiku mwema.

All the best

always prepare in advance coz failing to plan is planning to fail.

badala ya kusoma ni kuleta udaku k-talk.Wewe kwisha

You will get what you deserve to get , lakini jaribu kula sweet potato asubuhi?