Viatu na socks

Wadau niko na brother mupipi amekuja kutembea na ni Kama anasema anataka kufanya biashara ya viatu na socks kwa bar majioni.

Sasa nauliza ni wapi naeza pata izo viatu na socks in wholesale ndio nimrushie aniondokee.

Idea yake ni ku tembeza majioni kwa izo club za westlands then after some time aende achukue stall hapo ngara.

Nisha Lisha yeye yakutosha.

Eastleigh

Godspeed to that fellow. If he is consistent, he will one day look back at the day he made the decision with a lot of gratitude.

Socks kamkunji na viatu nikurauka ngware gikomba.

Kamkunji najua sasa wapi exactly? Socks ni zile official. Then viatu anataka loafers izo ndio watu casually smart upiga. Na hao majama upatikana kwa local za area Kama westy na madaraka.

family comes first

Sasa semeni bei. @Electronics4u hauna ujuzi hapa vile naweza anzisha [COLOR=rgb(41, 105, 176)]Mabenda Inc.

Sock hakuna shop specific ukienda uko ulizia duka za sock utapelekwa…
Loafers endea Eastleigh.

Sasa wacha nipambane na iyo capital

Socks kuna place ya wholesale huitwa soko plus,iko sheikh karume street on your right heading towards river road. Viatu aendee landmawe ukivuka ile daraja ya railways coming from kenya polly,kuna shop huwa na loudspeaker ya viatu

Sande Sana Omwami

Tafuta Mimi. I can be supplying casual official na 850. Men camera shoes.

I like the sound of that. Sasa naweka wewe mpangoni

Sawa nita muuzia kama viatu kama loofer,bootleg pia sporti ziko.

shop iko wapi? Ebu nipatie a round park figure of the capital to be injected

Akiwa na 17k atapata viatu Ka 20. Camera nauzia yeye namba 7,8,9 na 10. Namba 5 na 6 huwa hazikuli labda auzie midget.

Ferre kood

Akiwa ready aniambie nimwekee kamera.

Mimi ndio hupatia yeye iyo pesa so lazma ata wait kiasi. I’ll keep you posted