Vanilla Ice - Ice Ice Baby #TBT

KBC used to bring Top of The Pops (TOTP) way back. Kunyolewa’‘slope’’ na kuipaka rangi was very popular in early 90s.

https://www.youtube.com/watch?v=id=BZ-CSwjuQ1s;list=WL

niiiiiiiiiceeee…the rhymes here were something…vinyozi za stima used to be very few…na unajua iyo slope ilikuwa 30 bob…sikuizi unanyolewa funny,then unadarwa kichwa unaacha soo tano…

This show is from 1990.

Suge Knight alitisha huyu boyz akimshika kwa balcony ati he signs over the rights to his song…

Hii kipindi ilikuwa inaletwa na Nani?

KBC ama ilikua VOK hizo siku? TOTP is a British show ilikua inaletwa hizo days.