Uzi maalumu wa kutafuta beb wa JF

Niitieni jj wanguu

Hahaha
Usijali my dear, me memmiss sana Eli79 ni mhenga mwenzangu mwaya!!

Aya bana me sina la kusema

Kwani wewe ni he au she?

Ambaye ni???

Namtafuta @Sky Eclat wangu nimtongoze upya…

Yupo kwenye uzi wa mtoto wa shosti yake ambaye soon wanampaka ky jell

Ahsante kwa taarifa…

Mmh

Ngoja nijiandae kuringa kidogo katika mtongozo huu, ule wa kwanza nilikuwa too naive.

Usiende mbali namii @Mahondaw wangu… jua nakupenda sana…

Ahahahha hayupo huku

:oops::oops::oops:MAMAE…

Hivi mshkaji wangu mm ndio katupwa au sielewi elewi madam s samahani lakini

Ngoja niwe msomaji shunie mm

Shunie bila samahan uko sahihi kuuliza

Nasikitika kukwambia tuliachana sisi tena ahisi mimi niliachwa muda sema sikutaka kutambua had nilipojielewa ndio nikakubali hali n story ndef sana japo nakubali kila mtu yuko na flaws zake lakini dah ni mtihan

Aiseee sema kweli my dear pole mnooo hivi viumbe ni shida kuishi nao ujue nilikuwa nakuona jf upo busy na mbebisho kila nikitaka kukuuliza roho inasita

Hahaha asante wao wanasema hatujui sisi tunataka nn hata na wao hawajui wanataka nn ndio maisha lazima yasonge sema najutia kukubali siku zile kuweka open na kama unakumbuka hata zile threads nilifuta na kuna uzi nilipost sitak kukumbuka n mengi nimepitia sema nashukuru amenifanya niwe strong.

Pole mnooo mamy ni mapito na yatapita na maisha mengine lazima yaendelee wala sijutie kwa chochote sijui thread sijui kwa kuwa open kila kitu kinatokea kwa sababu acha maisha mengine yaendelee

Nishamove on sasa hivi naona kawaida kabisa yan niko na amani moyoni mwangu

Of course nakubali kabisa kila kitu hutokea kwa sababu Mungu ni mwema maisha yanaenda