Uzi maalumu wa kupeana Likes, comment chochote upate like

Patanoga tu, mwanzo ni mgumu

ila mgongo wako unahamasisha sana

ila ile ilikuwa simple sana hakuna kama jf miaka 1000

Hapa wakituwekea App mambo yatanoga sana

kama ile app ya jf nini

Vyovyote tu itakavyokuwa, kikubwa iwe tu App

Uwiiii tuhamie zetu kwa wahutuuu

Balaaaaa

au sio mamy…ila yule wa kule akirudi si utazuka ugomvi juu yangu na yake tukikugombe…

Matumizi ya web yako vizuri?

halafu wewe!!! mbona hujibu PM zangu?

Kwa bahati mbaya sikuwa na mawasiliano na WanaJF.Jitahidini kuwaita Wakuu wengine aisee.

Watakuja mkuu, naona @Mzigua90 kashafika na yeye ataita watu kadhaa

Hahahaha tabia hazifichiki mkuu

Ngoja nikawaite kina Shunie

kamati ya roho mbaya

Sawa waite wote ulio na mawasiliano nao huko nje

Haya, mje sasa na ID zenu za kule JF ili mambo yawe murua zaidi

Yaani natamani watu wote wa JF tuhamie huku. Ita wote na wewe basi

ndo tumewasili mkuu. Taarifa za kuja huku nilizipata asubuhi ya leo