Uzi maalumu wa kupeana Likes, comment chochote upate like

Mimi nipo na wengine wanakuja

Woyooo woyooo woyooo

Woyooo woyooo woyooo

MUPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Tupo mkuu.

naona majukwaa yamepoooza… ila dah jf tutaienzi sana…

Kabla mume yangu haijakuja huku eeeh

Iko mapenzi shata shata huku

@Demiss mamy ni wewe ama?

Nina arostoooooo mwenzenu

Ni mimi arosto ya Jf haijaniacha salama nataka kuleta mahaba yangu kenya talk

Aiseee arostooo siyo kidogooo

WAKENYA makatili sana mamy…labda tuwe wakimbizi kisha tupendane mimi na wewe…in JPM voice:D:D:D:D:D

Jaman mwifwa nipe namba ya mr miller mwenzenu namtafuta

Mwambie ajiunge basi

Kabla mchawi hajaja tupendane tubebishhane hakuna namna jiwe keshaamu

Is

Nilikuwa na namba za watu wachache sana, sasa nimeanza kujilaumu sana maana ningewaalika waje wajiunge hapa, kwa wale ulio na namba zao waambie wajiunge

Nitamwambiaa usjali

nakondajee hata kucomment huku bado hapanogi

Sawa