@Uwesmake

Magunia gunia aka Gunners are bureeeeeeee kapsaaaaa. Kujia ile Gibleys na navel massage. That was so cringeworthy. :mad:

hehhehe tumeibiwa my deer , wanatupea redcard tushindwe. tuma tu ya gibleys consolation

Usijali Omwami. As long as they have not been banned from playing, all is okay…
THEY’LL STILL BE AVAILABLE FOR A THRASHING BY THE NEXT TEAM THEY WILL PLAY WITH.

Kwetu hatuombi pombe kutoka kwa wanawake.

Hata kwa Trump mliibiwa, tukiangusha BBI mtasema mmeibiwa kikikikiki…

:smiley: Ni mimi nilimpromise…leo Chelsea ikiwin game ya UEFA pia wewe nitakunulia Tusker. Talking of which you owe me 2 crates of Tusker Malt Lager but the nephew meant to bring them is back here already. Alafu nikaona nitamsubua kuzipitisha customs. I will come to your inbox na details za someone else as soon as I confirm. Huepuki…:DRona or no rona.

Sawa my dear.

unless ulisomea kwa dirisha sitoki kwenyu hio advice pelekea nyanya yako

Usifanye niongee vibaya kuhusu walunje