@uwesmake and @pamba

[ATTACH=full]4484[/ATTACH]

Machamaa kujeni hapa tukamate kaukali

1 Like

Hio kaugali hata ukiwa pekee yako hauwezi shiba kanono

@uwesmake atakuja kukula kunyi yako

Cheki poa hapo kando kuna kaunga kengine hivi

Kuwa mpole mujamaa, hio ni nono go zone

@kush yule mnono UGALI IMEIVAA NA KUNA MRERE NIKUOM?

Sioni mboka kwani watakula kaukali na nini?

Kavu kavu na mate

HIO BUCKET HAPO KANDO N BUSAA IKO NDANI YA DESSERT AMA?

Tuchange school fees uwesmake amalize form 4. Ni aibu kukuwa semi illiterate katikati ya wasomi

ha haaa. hawa watu wanaeza kula ukali na harufu ya chakula ya jirani

1 Like

FALA UKO WAPI BUNGOMA COUNTY ?

Hahaah @Fala 12 hio umeiuwa

Ndugu ya @uwesmake amekamata kaukali na mrere akableki.

[ATTACH=full]4502[/ATTACH]

Muchamaa kuja hutoe hii mutu hapa

Naona tunazoeana

FALA NI FALAA TUU

Ugali ni ile ya tinga tinga(posho mill)

kaukali na harufu ya rasa ya @uwesmake… ni fiam noma…

[ATTACH=full]4504[/ATTACH]

[ATTACH=full]4505[/ATTACH]

The real definition of ‘kulala unono’.

3 Likes