Uwesmake a guest?

What happened to the bugger this time? I have visited the village and I heard that he was expelled

Alianza vile unaelekea, kutusi watu ovyo ovyo

1 Like

Yenyewe Uwesmake alianza hivyo tumatusi kiasi kiasi.

Yenyewe Uwesmake alianza hivyo tumatusi kiasi kiasi.

I heard (whispering) that alitukana mdem wa sos fulani hapa kwa kijiji, not sure which one though

‘Kutusu’ watu ovyo ovyo ndio ulipenda

Yenyewe alikuwa too much. Am sure he is back with another handle

Anaitwa Wenger sasa. Just look for listings by Wenger

Amerudi na handles tatu mbichi. Mulika @wenger @kamau and @DO_IT hao wote is one and the same mBUKUSU man

Wah. Yenyewe expelling him wasn’t the solution. Leo ndio nimesikia mbukusu anaitwa @kamau

Talking to himself, jamaa analeta thread anajiongelesha na hizo handle zote. Kumutoa huku nikama kujaribu kuua chawa na kidole moja

1 Like

leo ni lini :confused:

leo ni lini :confused:

Hehe, huyu mujamaa ni cat with 12 lives

1 Like

manze siku izi ata energy ya ku-barniwa kurudi sina jo…

UWES ALIENDA?

Naskia alirudi Bungoma

NYOKA WEE

Luis the pest. Sema anko.