[ATTACH=full]178173[/ATTACH][ATTACH=full]178174[/ATTACH]
!
!
Neno La Jiwe Ni Sheria
Kabla hajateua mtu sidhani hata kama huwa anafanya consultations muhimu.
Muda wa kujiridhisha na sheria za nchi huwa halina ndiyo maana linatuma watu kupima samaki waliopikwa!
Hajawahi kufwata Katiba wala Sheria za nchi hii…Hivyo sioni ajabu kwa teuzi kama hizi…Hivi aliapa kuitetea na kuilinda Katiba ya nchi gani?!
I wonder! hivi hakuna wanasheria nchi hii? How comes rais anajiamulia mambo ovyo ovyo bila kufuata katiba ya nchi na si mwanasheria mkuu, si vyama vya wanasheria vimechukua hatua yoyote. Au ndo wanasubiri wanasiasa waanze kwanza? Very sad indeed!!
Kumziba mdomo
UVUNJAJI WA SHERIA IMEKUWA NI JAMBO LA KAWAIDA SABABU WATANZANIA WENGI HAWAJUI SHERIA NDIO WANACHUKUA ADVANTAGE HIYO KUAMUA WANACHOTAKA
Duh!.. :D:D:D
huyu jamaa anaiona ile katiba katiba kama kupeperushi tu… isipokuwa neno lake ndio sheria.
Madaraka ya kulevya.
Wewe piga kazi, nasema piga kazi hakuna wa kukuzuia (in his voice)
Hii nchi ngumu hii… Wapo watakao mshangilia kwa aliyoyafanya… I doubt km huwa anasoma madaraka yake huyu bwana!!!
unajua watafanyeje baada ya kugundua wamebugi? mmesahau ya Bashite?
watachakachua job description na kudai “nafasi hii si ya utumishi serikalini”.
by now we should all have known what this devil (CCM) is capable of.
46A.-(1) Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshitaki rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki rais haitatolewa isipokuwa tu kama inadaiwa kwamba rais-
(a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano”
itafika kipindi itabidi bunge liache unafiki na ubinafsi lianze kuangalia namba ya kutumia hicho kifungu
Nchi ya Vi-wonder
Mkuu hii kutumika ni ngumu kwa sababu tumejaza mataahira ya ccm bungeni! Hivi hoja kama hii imkute naibu spika atakubali ijadiliwe?
wanasheria ndio hao anawamiminia risasi 38, wengine analipua ofisi zao
Hadi ajue jinsi ya kuendesha nchi miaka 10 itakuwa imeshapita.
Yan hiki ni kiazi kinaongoza nchi!
Hatari