Uzi huu ni maalumu kwa wanaume na wanawake wanaopenda nguo za kushona. Tupia picha ya mshono wowote iwe kitenge au vyovyote ili tupate vitu vipya.
[ATTACH=full]178615[/ATTACH]
[ATTACH=full]178617[/ATTACH]
[ATTACH=full]178618[/ATTACH]
[ATTACH=full]178619[/ATTACH]
[ATTACH=full]178620[/ATTACH]
[ATTACH=full]178621[/ATTACH]
[ATTACH=full]178622[/ATTACH]
[ATTACH=full]178623[/ATTACH]
[ATTACH=full]178624[/ATTACH]
Nina jirani yangu anaitwa @Sakayo
Abeeeeee jirani
Nilikuuwa nauliza kama unapenda vitenge!
Wapenda vitenge mje huku sasa
Jirani jibu unalo mbonaaaa
Napenda kitenge,ila sio vasi la kila siku,nagusia mara moja kunapokuwa na occasion…
Kitenge ni vazi la wazee Mdada akivaa akawii kuzeeka